Kirusi cha Zika, kilichoibuka mwaka huu nchini Brazil, kinatishia maisha ya watoto wachanga ambao wanazaliwa na ugonjwa wa Microcephaly, unaosababisha watoto kuzaliwa na vichwa vidogo na mtindio wa ubongo.
Ugonjwa huo umesambaa kwenye nchi 24 duniani, na Brazil imetangaza vita dhidhi ya ugonjwa huo, ikiwa pamoja na kuangamiza mbu ambaye anaeneza ugonjwa huo.
Ugonjwa huo, hauna tiba wala chanjo, na watafiti wanasema kuwa chanjo itapatikana si kabla ya miaka miwili.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni